1 - 5
PENZI LA MAPACHA
EPISODE 1
Katika kijiji cha Kitemba, familia ya bwana Shaibu ilijulikana kwa ukali wa baba yao. Shaibu alikuwa mkali mno kwa mabinti zake pacha, Nataria na Natasha. Pamoja na ukali wake, mama yao, bi Salama, alikuwa mpole na mwelewa, akijaribu kuleta amani kati yao.
Nataria na Natasha walikuwa mabinti warembo waliopendwa na wengi kijijini, lakini tabia yao ilikuwa ya tofauti. Nataria alikuwa mtulivu, mwenye busara, na mwepesi kuelewa hali za watu, ilhali Natasha alikuwa mchangamfu, mwenye ujasiri, na mara nyingine mwepesi wa hasira.
Siku moja, Marry, rafiki wa muda mrefu wa familia hiyo, alifika nyumbani kwa Shaibu akiwa na furaha tele. Alikuwa amevaa gauni la kisasa lililomkaa vema, akionekana mtanashati kuliko kawaida.
"Nataria, Natasha! Nimepata mwaliko wa kwenda kwenye sherehe ya kifahari mjini. Naomba tuende wote. Itakuwa fursa nzuri kwenu kutoka kidogo," alisema Marry kwa msisimko.
Natasha alisimama kwa shauku, macho yake yakiwa na mng’ao. "Sherehe? Hii ni nafasi ya kipekee, Nataria! Hebu tuende," alisema huku akimsukuma pacha wake.
Lakini Nataria alihisi wasiwasi. "Natasha, unajua baba hatapenda. Na pia, hatujui ni watu wa aina gani watakaokuwa huko."
"Usiwe na wasiwasi, Nataria," alisema Marry akitabasamu. "Hii ni sherehe ya watu wa heshima. Nataka tu mfunge virago vya ndani na kuona dunia ya nje."
Baada ya mabishano mafupi, Natasha alishinda hoja na kuwashawishi mama yao kuwa sherehe hiyo haitakuwa na madhara. Mwishowe, bi Salama alikubali, lakini kwa sharti kwamba watarudi nyumbani kabla ya usiku sana.
Kwenye Sherehe
Walipofika kwenye sherehe hiyo ya kifahari, macho ya Natasha na Nataria yalishindwa kuficha mshangao. Majengo ya kifahari, watu waliovaa mavazi ya gharama, na muziki wa kuvutia uliwafanya wajihisi kama wameingia kwenye ulimwengu tofauti.
"Marry, mahali hapa ni pazuri kupindukia," alisema Natasha huku akitazama kila kona kwa mshangao.
"Najua mtapenda," alisema Marry kwa tabasamu, lakini nyuma ya tabasamu hilo kulikuwa na hila ambazo pacha hao hawakuzijua.
Wakiwa wameketi mezani wakinywa soda zao, walimuona Marry akijiachia kwenye dansi na kaka mmoja mrefu, mtanashati, aliyeonekana maarufu miongoni mwa wageni.
"Nataria, unamuona yule kaka anayecheza na Marry?" Natasha alimuuliza pacha wake huku akitabasamu kidogo. "Ni mzuri, lakini hafikii vigezo vyangu. Mfupi kidogo." "Natasha, acha masihara. Hebu tuelewe Marry ametuleta hapa kwa nini, maana haonekani kujali hata kuwa nasi," alisema Nataria kwa wasiwasi.
Lakini kabla ya kuendelea na mjadala wao, kaka mmoja mwenye sura ya kuvutia sana aliwasogelea na kuwauliza kama msaada. Jina lake lilikuwa Nasri, mwenyeji wa sherehe hiyo. Natasha alizubaa kumtazama, huku Nataria akijaribu kujibu kwa heshima.
Muda ulisonga, na sherehe ilizidi kupamba moto. Marry, akiwa amelewa kidogo, alikaribia meza yao na kumwambia Nataria, "Muache
Natasha ajiachie. Maisha mafupi haya, siyo kila siku unapata nafasi kama hii."
Lakini Nataria alihisi wasiwasi zaidi. "Marry, kwa nini hutaki turudi nyumbani? Mama alituambia tusikae sana."
"Nataria, tulia. Kila kitu kiko sawa," alisema Marry kwa sauti ya kujiamini, lakini Nataria alihisi kuwa mambo hayako salama kabisa.
Tukio la Kushtua
Wakati wa kukata keki, kila mtu alijumuika kumpongeza Nasri kwa kufikisha miaka 25. Wakati huo huo, Marry na rafiki yake James walikuwa wakibuni mpango wa kumteka Natasha. James alikuwa amevutiwa mno na Natasha tangu alipoiona, na Marry alikubali kumsaidia kwa hila zake kwa malipo fulani.
Marry alimtilia kinywaji cha kulevya kwenye soda ya Natasha, na muda si mrefu, Natasha alihisi kizunguzungu. Alipokwenda uwani, James alifuatana naye, akimchukua kimabavu na kumweka kwenye gari lake.
Nataria, akigundua kuwa Natasha hajarejea mezani, aliingiwa na hofu. Alipotafuta kote, hakumuona ndugu yake. Hofu ilimjaa na akaanza kulia.
Marry aliwachkua wenzie adi kwenye hiyo party alikua anaenda yeye wow kunavutia jaman tembea uyaone tushazoe jifungia ndani tu jaman alisem natasha akishangaa maeneo mazurii yaliovutia watu mchnganyiko waliopendeza aswaa machoni pake.
Mmh naona leo marry umetuletea vitoto vibichi kabisa bado vinanuka maziwa yamama cio yale makubuu yako yameshakua sugu alikua kaka lan ivi jina lake james alionekana nikijana watotoz sana wee unanijua mim sinaga show mbov totoz bado mbichi izi unatakiwa ikiopoa mmja apo ukamivishe aswa sema sasa we j unazenguaga mshkaji upandi dau uku mtoto waboss wew marry nae alimjbu kiivo natabia yake ilikua mbaya nayaovyo yakuuza wenzake alafu hela anapokea yeye muonekano wake wanje nakujifanya mtakatifu mbele zawatu hila alikua mchafu aswaa
Uku pengine nataria na natasha walikua meza yao wanakunywa soda zao taratibu uku wengine wakishushia vitu vyawakubwa wakubwa wenzangu
mshajua ni nini
Nataria ivi unamuelewa marry kweli katuleta apa alafu ayupo nasi mmh ona kule anacheza anajiachia alafu yule kaka pale anacheza nae nimzuri sema ajakizi vigezo vyangu mim mrefu janaume fupi nipeleke wapi japo mzuri lakn mfupi
Natasha mimi ata sielewi bwana ivi wewe unamuelewa marry mbna waajabu ivi anakunywa adi yale yakwenye chupa kubwa kweli ukimuona umzanii ety alivo nakisura chaupole khaa tumwambie tuondoke apa mama aikijua atatuuwa yule mke washaibu ohoo nataria alipata uwoga kweli
Dada embu tulia tumuone uyu mtu mwenye party yake natasha alimjibu pacha ake kuonyesha anahamu yakumuona uyo mwenye hy
party
Ivi utaruhusu kuwatoa wanangu wakamlaze mtu kwao kwamba ana ndugu wakumlaza alifoka baba yao namapacha jina lake aliitwa shaibu
jaman mume wangu mbna vero nirafiki yangu naunajua jamn kunaubaya gani wanangu kwenda kumlaza mwenzao siku moja
ctakii bwana yule mtoto anatabia mbaya we muone kama mchamungu apo nakisura chake kidg kam piliton ukadhan mwema ctakii awe namazoe nawanangu kwani ushogo wenu autoshi adi wanangu nao wawe
naurafiki nae mzee shaibu alionesha chuki wazi wazi yakutompenda marry ata kidogo.
Uku kwenye party mambo yalinoga aswa sasa natasha alijikuta anaamka nakuanza kucheza sasa kama mtu alielewa maan alijirusha aswa pacha wake alimzuia lakin akumuweza mara marry alikuja nakumwambia nataria muache mwenzio ajachie maisha yenyew mafupi aya uku nae kirevi kikiwa kimemkorea marry embu turudishe nyumbani umemtilia nin ndugu yangu adi awe ivi nataka twende nyumbani
nataria alimwambia marry ambae ata akumjali tuliza mshono apo mtoto wakilokore acha wenge alimjbu uku akiwa anayumba japo alikua mzoefu sana napombe Mara alikuja kaka mmoja mrefu mwembamba wawasitan ata rangi yake ilikua nzuri nayakumvutia mwanamke yeyote aliemuona alivutika nae aswaa alikua simart sanaa huu navyomsifia sasa kam ananijua but amzidi bebe angu natania jamn tuendelee zetu hey marry mbna mnavutana apa nini shida aliuliza kaka yule ambae nataria alizubaa kumshangaa akumskia ata alichosema nikipi aah bwana Nasri bhan wanaboa awa watoto wanataka niwarudishe nyumban uku atujala keki yako jamn oky waache kuwasumbua basi alisema ayo nasri akimkalisha natasha kwenye kiti uku akimshika marry sasa Niwazi marry wanajuana na Nasri tulieni apo party ikiisha nitawarudisha nyumbani mwenyewe alimwambia ivo nataria alafu yeye akaondoka namarry.
Mmmh apan mungu anaumba ivi uyu kaka kashushwa au kaumbwa nimzurii jaman hy harufu alivomzuri sasa mmh nataria alijisemea uku akimtazama nasri anavoishilizia namarry
Muda wakukata keki ulifika watu walikula nakunywa maan ilikua birthday ya Nasri kwakufikisha miaka 25 nakwao pesa ipo nae nimtot wakiume pekee katika familia ya mr salim so pesa ilikua sioshida zake.
Sasa nisaa5 ucku yule james walichonga deal yeye namarry hili wamuibe natasha james rafik wa Nasri alitokea mtamani sana natasha namarry alimtilia kirevi kwenye soda hili alewe natasha alijiinua akaenda uwani ndugu yake alimsinfikiza akarudi kuketi ule muda natasha anatoka alibebwa mzima mzma akawekwa begani adi kwenye gari lake najames akaondoka nae nacjui niwapi anampeleka.
Mmh mbna natasha arudi ngoja nikamchek usikute ananingoja nataria alijinyanyua kwenye kiti nakumfata ndugu yake uwani kufika akuna mtu tazama kote akuna aliemuona ata alichanganyikiwa atarii......
ITAENDELEA....
EPISODE 2
Picha imebadilika lakin stor nihle hle so tuendelee...
James alim,beba natasha mzobe mzobe alijaribu furukuta napombe yake hli aachwe lakn akizuia chochote james alimuweka siti yanyuma akapanda mbele nakutaka uuwasha gari lake hile anapeleka mkono
kuwasha gari
alishangaa anazuiliwa mkono kutazama akua mwingine ni Nasri rafiki yake
Aisee kijana lini utaacha uhuni wako lakin kila cku nakwambia we msomi mzuri mbna wanawake wanakuelewaga sana kuliko hii satyle yako yakuletewa madem namarry yule binti akufai pia achana nae bro unakuja kuchkua vischana vyawatu vizuri vipole kama hv kuviaribia maisha tu embu kamrudishe kwandugu yake bwana
Aah Nasri unazengua kijana niache mimi nikafaidu kitoto chaelfumbili we ayo mawaidha yako peleka msikitini bwana embu shuka... mimi ningekua wew ningekua situmii nguvu mim pesa nayo lakin cpendwi sina bahati yamadem wakali kama wew unapendwa lakin unatime so niache kijana nikale zangu kuku wangu
taratibu shuka bhanaa
Sishuki mpaka umrudishe uyu mschana kwandugu yake niwapeleke kwao.
Waliendelea kubishana james na nasri uku nako nataria alichanganyikiwa amuoni nduguye alitoka adi adi kumfata marry sehemu alipokua akicheza nawenzake marry alimuita nakumshika mkono
Nini bwana nawe tunatoana kwenye mood bhan simuoni natasha alikua uwani lakn ayupo cjui kaenda wapi
Bwana atakuepo tu kwani mtoto yule niache bhan mimi aliongea ivo marry nakurudi kucheza kiumri marry kawazidi wenzake miaka miwili bs namatendo yake ndio kabisa ujikuza
zaidi
Nasri alishuka kwenye gari nakufungua mlango wanyuma akamtoa natasha aliekua tear kasinzia muda kidg nasri alikua kijana mzuri nampole hila alikua ataki tabia mbovu anazo fanya rafiki yake yakua anachkua wanawake kinguvu bila idhini yao alim,beba akamtia kwenye gari lake nakwenda kumfata nataria nishampata ndugu yako twendeni kwenu mnielekeze niwapeleke
Huuh ahsnte mungu naushkuriwe pia kaka angu kwakumpata pacha wangu aliongea nataria akaingia kwenye gari La Nasri.
James alitoka kwenye gari Lake akiwa amekasirika atari baada ya Nasri kumpeperushia ndege wake Alipiga gari Lake teke kwahasira uku aking'ata lipsi zake kwauchu hila aikusaidia ki2 chochote
Nyumbani wapi Nasri alimuuliza nataria maan alikua amekaa nae mbele yagari
aah usitupeleke nyumban muda huu baba atatuuwa ety tupeleke kwakina marry
Mmh uyo marry alivo natabia mbaya nammemuacha siatamind atawafanyie vibaya tena
Apan tupeleke tu kwao tukienda nyumbani awatatuuwa alafu nauyu natasha kalewa baba ataelewa wewe tupeleke kwao namarry kesho tutaenda kwetu alisema ivo nataria mmh saw aliguna Nasri akakunja kona yakwenda kwao namarry.
Palipambazuka sasa nisiku nyingine tena natasha aliamka kichwa kizito napembeni ndugu yake akua amelala alimngoja aamke waende kwao bila kupoteza muda nataria alimwambia pacha wake waondoke kwenda kwao marry akua amerudi nyumbani aikujulikana alilala wapi
Mapacha wale walikaa kimya awakumwabia mama yao kilichotokea usiku ule walioenda kwao namarry maan yangeibuka mengine naivi baba yao akupenda waende kule bs mambo yangekua mengi balaa walikubaliana wanyamaze tu maisha yaendelee.
Wiki mbili sasa zilipita sikumoja nataria na natasha walikua sokoni kununua mahitaji yanyumbani kwao stor ziliendelea
Yani natasha kunakaka nilimuona kwenye party hile siku mmh wallah nilitokea kumpenda mwenzio yule sijawai kua nahali hii ata sikumoja toka nimekua sasa yani kaka mpole yule sio sura nzuri tu adi tabia najuaga wanaume wenyepesa wazuri wenda wanaroho mbaya naubinafsi pia hila cio kwake jaman
Mmh! wewe nataria wewe mbna makubwa lini umeanza ivo nauyo ni nan usikute nikale kaka kafupi ulichosema kalitaka nibaka nakachukiaaa mimi nataman kukaona tena nikatie kofi
So uyo bwana niyule alikutetea nakutuleta nyumbani nawe nivile ukumuona namapombe yako
ungemuona
namjua nilimuona kwambali alivokua akiongea namarry japo sijamkariri wewe mwanaume umuone usiku eti umpende ukute baya natasha alimjibu dadaake uku akiwa nashauku yakumuona uyo kaka tena.
Sasa mwanangu umekua sasa kila mwanamke unaepewa umtaki unataka umuoe nan jamn unajiona mdogo kila siku jaman ilikua sauti ya Mama ake Nasri
Mama mimi bado sijaona mke wakuowa embu niacheni kwanza bwana sina umri uwo wakuarakishwa kuoa
lakin bro umekua alafu wewe ndio kaka yetu mmoja tu kama jicho tunataka uoe bhan alikua mdg wake jina lake aliitwa Nasra umri wake miaka18 walimpenda sanaa kaka yao pamoja nakadogo chao chamwisho kenye miaka 15 nae alitwa Naira nahiyo ndio ilikua familia yake upande wa Nasri.
ITAENDELEAAA
EPISODE 3
Baada ya Nasri kuambiwa Atafte mke wakuoa sasa mama anataka mwali.
Mwezi ulipita siku moja nataria akiwa matembezi yake pekeake bila pacha wake aliskia anaitwa kugeuka akua mwigine ni Nasri
Hi nasri mambo nataria alifurahi kumuona mmh mnafanana adi cjui
wewe niyule au niuyule
Haha jamn ety niyule au yule asa apo umesemaje mimi nimkubwa naitwa nataria yule mdg wangu ulimsaidia ckuile anaitwa natasha
Ooh oky mnafanana atari vep uko pow
Yeah niko pow vep wew
Am fine
Uko free ata tutembe tembee kidg
Mmh mim naogopa handsome kama wew nije pigwa nawatoto wazuri jaman Unamaneno wew mimi ata sinaga izo mambo nawala uwezi amini apa nimejikaza sanaa kusema nawewe lakin vep ndugu yako ajambo nasikuhile mlikua powa kweli nilikua nishasahau kukuiliza ndio tulifika salama.
Stor zilendelea uku Nasri akimpeleka nataria sehem tulivu wakaseme vizuri maan siku hy akua nagari aliamua kutembea kwamiguu tu.
Mama mimi nishachoka namaombi yako kilamara kanisani mimi nakosa muda wakutembea ata nipate mwenza wamaisha bwana mama
Alilalama natasha njiani ivi wewe uwo mdomo unamchongea nani au ujui kanisani ndio kunawanaume walio sitaharabika kuwaoa wewe nandugu yako awo wanaume wamtaani mtawaweza wapi nasiwezi wakubali mimi
Mmh mama bwan awo wanaume wakanisani unawasifia bure tu nakwanza mwanaume mwema utoka popote pale nawala sio kanisani namimi cwezi ishi nabwana wakanisan maan sio ninaowataka mim wamekaa kama wazee tu aliongea natasha alikua anatoka kanisan kwenye mazoezi maan natasha alipendwa sana sauti yake pale kanisani ilikua nzuri sanaa.
Uku nako stor zilinoga nataria alizidi kumpenda Nasri zaidi nazaidi
Bwana kweli una mpenzi naukubwa uwo wote
Naukubwa gani nawe au urefu tu ndio mnadhan mimi mkbwa mama nae ety anataka nioe namiaka25 tu jaman sina ukubwa wowote ujue
Alijitetea Nasri alionekana nae kumzoe nataria nakumuelewa kwamuda mfupi tu waliokutana
Mmh sioe sasa kama mama anataka Nataria alikazia ile mada
Nitamuoa nan mim sasa au wewe aliongea uku akicheka kumaanisha masihara
Ila nataria alichkulia serious maan alimpenda nasri bila kujali nimapema sana kwake kumpenda mtu kiasi icho lakini moyo wake ndio ulikua ushapenda sasa
Mmh we bwana mimi nawai nyumbani nakuacha ivo uvimilivu ulimshinda Nataria? Nasri alimuuita akiwa yupo serious naailichotak kukisema
Abee Nataria nae aliitika kwaupole
Ammh usinione mimi muuni kama mnavodhan vijana tulivo nataswira mbaya mmh kiukweli naomba unisamahee hila niweke kwenye list yavijana bora kiukweli nighafla lakin Naitaji uje kua mke wangu kam uko single nikubalie kama nitakua nimekurupuka naweza chelelewa nikakuta mwana si wangu nakupa
muda nifkrie zaidi nazaidi
Mmmh ivi ulishaga feel ki2 flani ivi pale unapoambiwa ayo maneno namwanaume unaempenda nadhan mnaijua hy bs Nataria alijihisi yupo mwenyewe katika uwo ulimwengu sio rahisi kijana mzuri kama nasri kumfata yeye japo nae sio haba mtoto mashallah mungu alimuumba cku yupo mapumziko akua nastres kabisa Jamn wew umenitamani sana ivi mimi umenipendea nini alafu ndio mara yapili 2naonana jamn umenipenda au kunitaman tu
Mmh uyu nae Nataria anamaswali ambao wengi uwa tunauliza Ata mimi muandishi wenu naayo maswali ety
Sijui kwanin ndio tabia yenu wanawake ety umenipendea nn cjui maramoja daah yan oky nakupa muda ukiwasaw nanilichokwambia nitafte aliongea Nasri kwaupole akampa namba zake then akalipa napesa yakinywaji pale walipokua wamekaa akaondoka zake
Naniwazi alikwazika namajibu ya Nataria sema akua namakuu natari ndio alibaki mdomo wazi kwakuduwaa maan aliona majibu yake yalimkwaza kiasi Nasri Mmh aliguna akachukua kipochi chake nae akaondoka.
Nasri alifika kwao akatupa koti lake kwenye kochi naeakakaa
Kaka mbna ivo aliulizwa namdg wake naira wamwisho
No niko sawa lakin
Aupogo ivo nini shida nae nasra alifika nakuuliza
Bwana niacheni au wifi kakuudhi nasra alitania kaka ake uku akicheka Lakini aligundua kaka ake yupo serious alinyanyuka nakuingia chumban akawaacha pale ndugu zake.
Ivi mimi namwambia nataka kumuoa anasema ety nimemtamani ivi kutamani ndio nini yani mim wanawake siwaelewagi kwakweli alijilalamikia nwenyewe chumbani kwako niwazi uwaga nahasira zaghafla ata zisizonakichwa wala mguu hila ndivo alivogo kumbe.
Nataria alifika kwao akiwa anafuraha uku mawazo yani vyote kwapamoja
Nini mbna ivo natasha alimuuliza pacha wake lakini nataria alimshika mikono akaanza mzungusha uku
anafurahi Nikk in love niko in loveeee Mmh in love?? Na nani uyo tena mbna kumekuchaa nayule yule nani sasa bhan siuseme nawe
Aliuliza kwauchu natasha Na Nasrii jamn kasema anataka kunioa
Mmh yani wew unandoto zamchana mimi mdg wako ndio mjanja kidg japo tunafanan lakin tabia zetu nitoafauti wewe nimuoga muoga bora mimi asa nan atakupenda ulivo mpole ivo
Ndio ivo ata Nasri nimpole bs ndio kanipenda sasa
Mmh natasha alimguna nduguye nakuutoa mkono kwapacha wake...
ITAENDELEAA
EPISODE 4
Natasha aliotoa mkono wandugu yake Nakumtaza kwakumkazia macho ivi nataria mama si alisema dev atakuoa ama wewe uko in love umefata nini
Mmh mbna kama ujafurahi ndugu yako kupata mwenza uyo dev mim simpendi kabisa namaisha yakuchaguliana ayapo asaiv m2 unapenda roho inapopenda namimi nishampenda
Nasri.
Hahah james alicheka baada ya Nasri kumwambia kama kampenda tu ghafla nataria ananataka kumuoa
Asee kumbe hile siku kwenye party ulikua umepeperusha ndege wangu kumbe ulikua unaandaa mipango yabwana shemeji
Bwana mim apa nawaza ata anipigie tuyajenge jumba kubwa hili akuna anaetulia apa nyumban yani akinikubalia nandaa mipango yakwenda kwao
Mmh koma kijana mimi kujiingiza kwenye ndoa asaivi uwongo bado nakula ujana navitoto vibichi maisha mafupi aya nije ingia vifungoni uku sijafahidi mema yanchi akhuu ctaki aliongea james alikua anampango wakuoa leo wala kesho.
Nataria alimpgia cm Nasri ambae akuamini baada yakuona cm yanataria alipokea kwabashasha na nataria jibu lake lilikua ndio kumkaribisha kwenye maisha yake nasri lakin aliitaji wawe wapenzi kwanza wajuane then mambo mengine yatafata.
Mwezi ulipita uku nataria na nasri mapenzi yao yakitaradadi nataria alijiiba kwenda kutembea na Nasri kila alipomuita bs icho kitu kilimkasirisha natasha maan alitamani atoke
nandugu yake lakn aikua ivo maan ata Nataria aliondoka kwakujiiba so akutaka kwenda namwenzake bs sikumoja natasha aliamua kumchongea pacha wake kwa mama yao
Mama ivi unajua nataria anampenzi mamaang naafanya siri
Khee mbna makbwa ameanza lini ndio maan ruti zakwenda kwamarafiki
aziishi cjui wapi mambo mengi tu
Ndio ivo mama anaficha mara nae nataria akafika namifuko yake
Mmh bora ulivokuja muda sahii nackia ushakua nampenzi umeanza lini uku unajua nilitaka dev ndio awe mume wako
Mama kama ulivoambiwa nauyo chaumbea wako mim nimepata mchumba now atakuja apa nyumbani natunapendana sana naanataka kunioa Kwaio jiandae kumpokea mkwe wako mimi Dev mimi simtaki mama
Mmh saw aje tu nimuone nijirizishe mimi nataka uwe sehemu salama mwanangu maan anaonekana anapesa naweza kataa kumbe nakimbiza baraka zamungu alisema ivo mama yao uku akichkua mfuko
wanataria nakuutazama
Mama kwaio umeridhia pacha wangu aolewe mimi nibaki apa mwenyewe kuosha vyombo kweli
Ata wewe ukipata leta mladi wawe waume wazuri kwenu mimi nimekuja gundua kuchagulia watoto wenza nimambo yakikare kwaio chagueni palipo sahii watoto wangu
Mmh aliguna natasha likiwa limemshuka shuu maan ailjua anawasha moto akakuta mama yake ana makuu siku hy
Anakuja lini uyo mkwerima mama yake alimuuliza nataria
Anakuja wiki ijayo lakini mimi kesho naenda kwao apa jion naenda saloon nakutafta nguo yakuvaa maan manguo yenyew ndio kama aya yakilokore alafu mama usimwambie baba kwanza kama kesho akiwa anakuja umwambie leo lakin cio sasa naumwambie kitaratibu maan nimuislam namimi
nabadili dini nafata yake
Mmh apo sasa tena muislam baba ako atakubali kweli jamani mmh nitajarbu.
Kwaio mama jiandae kesho anakuja mkweo uwo uswahili wako ctaki mimi mtoto waw2 mpole atali naumwambie uyo mwanao aliekurisi mdomo wako Nasra uyo
Jaman mwanangu uko nikumchoka mama ako ama nini ushanionyesha picha yake ata kabla ajaja nishampenda mzuri eti mimi cio mama waivo atachopenda mwanangu nami nitapenda Nataman ata baba yako angekuepo apa
Mama plz usianze sasa kuleta uzuni kwenye jambo lafuraha.
Mpaka sasa atujui baba ake na Nasri yupogo wapi lakin tutajua tararibu tuwe makini tu vipenzi nyangu katika hii stori.
Atimae palikucha asubuh Namapema hy siku Nataria niwazi akulala aliamka mapema kuliko siku zote alifanya usafi wanyumbani pale mara cm yake iliita hello zaasubuh kama nakuona macho yamevimba ujalala wewe Nataa wangu Nasri alimtania Nataria
Ooh umejuaje mpenzi cjalala kweli nilikua nakuwaza wewe nafamilia yako nakujaje
Haha kaoge uko usiwaze bwana jiandae saa4 nikukute pale 2napokutaniaga nakufata mwenyewe usipande vidaradara vyako uku mume wako mtarajiwa namagari bwana nacio moja
Sawa darling ngoja najianda somuda naja apo Oky nakungoja.
Atimae Nataria alitia tim kwao na Nasri kwenye mjengo wamaana jamani sio kwahilo jumba kunawatu wanaishi alafu wapo wakinasisi tunaishilizia Nataria alishuka akiwa anashangaa mjengo atali baada yamlinzi kufungua geti nataria alifunguliwa mlango nampenzi wake
Mama nishakutfia fundi wakukufundisha kutembelea viatu vyajuu so usije niabisha haha Nasri alimtanitania nataria hila nikweli alishamtaftia m2 wakumfundisha kutembelea viatu virefu maan nataria azikuaga pigo zake yeye nandugu yake
Usiniseme bhan wewe ndio ulitaka nivae maviatu marefu asaiv wanisema tena
No usinune bwana nataa wangu utaniwi jaman alimshika mkono adi ndani sasa apo ndani ndio kilichomshangaza nataria lakni alijikausha kuficha ushamba wake.
Aliririii alipiga vigeregere baada yakumuona mkwe wake mama Nasri alimkumbatia kidg
ITAENDELEA
Episode 5
Jaman mie naumwa wapendwa kifua kifua kimenibana atari niombeeni 2 but 2endelee....
Nataria kwashangwe aswa jamani umependeza alisifawa nafamilia yamume aswa wifi yake Nasra Nataria alikua kavaa gauni lake lapink refu liliomshika kiasi nakuonyesha shepu yake namba8 vizuri nakumpendeza.
Alisifiwa namama wamume wake mtarajiwa walifurahi wakala nakunywa akika siku hy ilienda vizuri kwaupande wa Nataria.
Lakin katika furaha lazima shetani nae acheze karibu kuiyaribu furaha hy.
Nishasema Nasri ata oa mke mwingine tofaut yangu nimekua nae nimecheza nae nimesoma nae leo hii aje amuoe mke mwingine ikiwa mimi nipo apana kwakweli labda kama mimi cio Zamda bint Said
Ninyumba moja alikua mschana uyo akivuruga vitu baada yakusikia Nasri anaoa
Ndio sijasema et atakuoa lakn akuwai kukwambia anakupenda uwoni kwamba hy nimbaya
Alikua rafiki yake zamda jina lake suzy
Ajawai nambia ananipenda hila mimi ndio mwanamke ambae naenadana nae mzuri msomi tajiri kama yeye why akaoe janamke kwanza lilokore ana uzoefu wowote namahusiano anauzuri gani kunizidi mimi nakwambia ataoaa We sema unauzuri cjui umekamilika lakin unaweza kua navyo vyote lakn mwanaume akaenda kuoa mwenye mekenge namatege ivi wewe unawajua wanaume wakipenda wewe hiyo ainaga mjadara.
Uku nako Nataria alikua anawaza yake mim cwezi kaa nyumbani ety yeye aolewe nawote nimapacha sio kushea sura2 tutashea adi mwanaume adi watoto aiwezi ikawa mim nidotto ndio wapili kuzaliwa lakin wewe nikurwa nilitaka niolewe wakwanza namume mwenye pesa chaajabu wewe umepata wakwanza nabwana mwenye pesa lazima 2shee kila kitu umemficha nisimjue bwan shemeji lakin nimuda wangu wakumjua kabla ajaja apa nyumbani nijue yupoje yupoje maan Nataria ananoga sanaa asaiv mwana anapesa nami namtaka.
Sasa Nataria anaingia kwenye vita asioijua yamapenzi nandugu yake narafiki wampenzi wake Zamda alieapa atamuachia Nasri kirahisi aoe mke mwingine ingali yeye ndio alijua Nasri atamuoa yeye jince alivo mzuri msomi pesa kwao ipi lakn chaajabu anataraji kuoa mke mwingine.
Nataria alirudi kwao akiwa mwingi wafuraha alipewa zawadi nyingi aswa dunia yaasaiv mama mkwe akikuelewa nadugu wengine wamume mmh nijambo lakumshukru mungu maan wengine utasikia m,baya cio msomi aendani nawewe nasisi sio levo yetu mambo kibao kwaio vyote ivo ukiweza kuvishinda utaenjoy maisha maan
Ndugu wamume wanagubu awo.
Mama ake alimpokea kwababashasha sana nakilichomshangaza nataria kukuta adi baba yake alikua natabasamu kitu amabcho nataria alishangaa
Babaa alimuita nakwenda mkumbatia
Baba mama kakwambia kila kitu
naunafurahi ivo
Ndio kaniambia kila kitu adi dini yauyo mtu wako kwaio nimeona ainahaja yakutia ngumu mwanangu watu wanaishi maramoja namaisha nimafupi aya ninaweza tia ngumu nakukuchagulia mume alafu ukaenda teseka nitaumia sana mladi penda palipo sahii nakam nidini aichagui mtoto atamuacha mama nababa ataungana namume wake nafamili yandugu wamume wake mungu nimmoja nawote tunamuamudu uyo uyo japo dini kila mtu anayake kwaio fata dini yake naumlete apa nyumbani
Mzee aliongea kwabusara sana nakumfanya Nataria atoe machozi ya furaha zaidi uku akimkumbatia baba ake.
Natasha alikasirika alijua ata mzee wao atamind lakin akua ivo
Nataria naomba cm yako natasha alimumba ndugu yake cm naalimpa bila hiyana maan muda uwo nataria alikua akiongea nafamilia yake wakipanga jince yakumpokea Nasri
Alitoka njee nakuchkua cm yake akatafta namba za Nasri nakweli alikuta kamsev Hubby.
Itaendelea
Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Tags:
Simulizi