KARIBU JOEBOY STUDIO TABORA

 JOEBOY STUDIO

Jina la Biashara: JOEBOY STUDIO
Eneo: Tabora Mjini, Barabara ya Madaraka, jirani na njia ya kwenda Kwihara
 Mawasiliano:

  • WhatsApp: 0684 599 702/ 062104524
  • Simu ya kawaida: 0613 442 214/ 062104524
  • Simu ya Ofisi : 0262605123

Huduma Tunazotoa

1. Huduma za Utengenezaji wa Mabango ya Biashara

Tunabuni na kutengeneza mabango bora na ya kisasa kwa ajili ya matangazo ya biashara yako. Tunahakikisha ubora wa kazi zetu unakidhi mahitaji ya wateja wetu.

. mabango makubwa ya barabarani / mabango na stika za maofisini / posta za mitandaoni

2. Uuzaji wa Filamu na Tamthilia (Movies na Series)

Tunatoa mkusanyiko mkubwa wa filamu za kisasa na tamthilia za kufurahisha kutoka ndani na nje ya nchi kwa bei nafuu.

3. Vifaa vya Kielektroniki

  • Simu za mkononi 
  • Chaja za simu na vifaa vingine vya simu
  • Vifaa vya kompyuta kama mouse, kibodi, na vifaa vingine vya teknolojia

4. Ufundi wa Simu na Kompyuta

  • Matengenezo ya simu za mkononi
  • Matengenezo ya kompyuta, pamoja na kusafisha na kusasisha programu


5. Mafunzo ya Computer

Tunatoa mafunzo ya coputer kwa level ya basic na advance kwa gharama nafuu
 mfunzo kama:
. Introduction to computer
. Full Ms Office
. Internet
. Graphics Design

Kwa Nini Uchague JOEBOY STUDIO?

  • Ubora wa huduma: Tunahakikisha huduma zetu zinakidhi viwango vya juu vya ubora.
  • Bei nafuu: Tunajali wateja wetu kwa kutoa huduma bora kwa gharama zinazowiana na hali ya uchumi.
  • Uaminifu: Tunazingatia utoaji wa huduma kwa wakati na kwa uwazi.
  • Eneo rahisi kufika: Tunapatikana eneo la kimkakati kwa urahisi wa wateja wetu.

Tembelea JOEBOY STUDIO leo kwa mahitaji yako yote ya kielektroniki, filamu, na huduma za kiteknolojia!

1 Comments

  1. Endeleeni kutoa hudama stahiki kwa jamii

    ReplyDelete