Mtu na dada yake walienda kuogelea ktk swimming pool ya kituo cha mazoezi ya kuogelea olympic , muda wa kufungwa kituo walitakiwa kuondoka lakini hawakuondoka 7bu mmoja wao pete yake ya uchumba ilikua ipo ktk pool .
Ktk kuifuata majini na kutaka kuitoa ilikua imekwama hivyo mwenzie akalazimika pia kuingia majini kumsaidia nduguye kule chini .
Bahati mbaya sana meneja akajua watu wote wameshaondoka kwa hiyo akafunga lile swimming pool kwa lifuniko lake la plastic gumu juu na jengo bila kujua chini kuna watu .
Madada wanashtuka wanataka kuwahi kutoka ila inakua too late , mbaya zaid meneja kashatoka nje kitambo .
Shida ss ni weekend , watu kuja tena mpaka siku ya kazi yani j3 , kwa hiyo hawana budi kupambana na hali yao .
Shida nyingine mmoja anaumwa kisukari na ana dozi yake ya vidonge ambayo lazima apate kwa wakati sahihi , vidonge , simu na vitu vyao vyote vipo nje ya swimming pool .
Anakuja mdada muangaliaji wa jengo wanamsikia kwa nje , walidhani angekua msaada wao lakini kumbe na yeye analeta njaa kutaka kuwatumia .
Akawaambia ili awasaidie bas wanatakiwa kumpa namba za siri za simu na namba za siri za card ya bank , madada richa ya kumtajia lakini bado hakuwasaidia .
Inabidi wakomae kujiokoa wenyewe , shida ss maji baridi , njaa na dawa za mgonjwa changamoto .
Wapenda survival movies inatufaa
Enjoy 🙏
Kuipta movie hii Download Hapa
Tags
movies