Story inahusu watu wa5 wapanda milima (climbers) , ambao walimkuta mtoto mmoja wa kike ktk msitu mmoja wa milimani kuashilia alikua ametekwa .
Waligundua kuna mtoto pale walipopumzika maeneo hayo kula na kunywa , kabla ya kuendelea na safari yao ya milimani .
Walisikia sauti ya kuomba msaada iliyokua ikitoka kupitia bomba alilowekewa yule mtoto kupitishia hewa kutoka kule chini ya shimo .
Walichotaka ni kumuokoa na kumuondoa maeneo hayo haraka sana kabla ya waliomuweka kuwakuta , maana walijua lazima atakua ametekwa na kuwekwa hapo na watu wabaya .
Hapo network haipatikani kwa hiyo wakashauriana wengine waondoke na mtoto mpaka nyumba waliyofikia kusubiri msaada , huku wengine waende kutafuta msaada wa kupata police hata ktk vijiji vya karibu maana hawawezi kutembea na mtoto umbali mrefu .
Wakafanya hivyo na kutoweka hilo eneo haraka sana kabla hawajakutwa
Waliomteka mtoto walimteka ili wapate pesa , na siku hiyo pesa ndo zilikua njiani kuja ili wabadilishane na mtoto .
Hapo ndipo walipouponza wale wapanda milima kumuokoa yule mtoto maana ile ni hela , na kama ni hela watekaji watafanya chochote kuilinda hela yao waipate .
Wanapokuja kugundua mtoto hayupo ndo hapo wanaanza msako wa kuua yoyote wanayemkuta msituni ilimradi wampate mtoto wao , kimbembe ni kwa wale wapanda milima kuweza kuokoa maisha yao huko milimani .
Ni bonge la muvi , trust me
Kuipata hii na nyingine kibao Download Apa
Tags
movies