DOWNLOAD BURE MOVIES ZA WAKUBWA TU

Ingia Hapa

Ingiza Password

Je wewe ni mpenzi wa simulizi?

Hii ni kwawadau wanaopenda kusoma simulizi bonyeza button hiyo juu kisha chagua aina ya simulizi..

KARIBU KWA HUDUMA KAMA | GRAPHICS DESIGNER | MOVIES NA SERIES FULL HD | HUDUMA ZA MTANDAONI | VIFAA VYA COMPUTER NA MATENGENEZO | VIFAA VYA SIMU NA MATENGENEZO | KUTENGENEZEWA WEBSITE/BLOGS | WASILIANA NASI KUPITIA LIVE CHATI HAPO CHINI AMA TUPIGIE SIMU YA OFISI 0262605123

KAA KARIBU NASI KWA KUJIUNGA KATIKA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPO CHINI

KWA WATEJA WETU WA MBALI LIPIA HUDUMA HAPA NA THIBITISHA MALIPO YAKO NASI TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA
📱JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP

TANGAZA HAPA 🎉CHEZA USHINDE ZAWADI💰

SITAKI TENA MAPENZI

SITAKI TENA MAPENZI🥀_1
"""Oooh nimekuwa nikikuona kalibu Kila siku nikipita hapa na gari langu..tafadhali panda nikusogeze sogeze!  Alikuwa mbaba ukimuangalia ni mtu mwenye heshima yake. "" Asante nitasubiri tu basi ...!! Nilimjibu na kusogea mbele Huku nikimtazama Huku na kule kuona kama Kuna gari linakuja.

"" Alisogeza gari na kuniambia ..tafadhali niambie wapi unaenda nitakupeleka! 
Asante baba jmn..mbona siyo muelewa sitaki mimi kupanda Hilo gari lako mbona tupo wengi hapa wasaidie na hao wengine. Niliongea kwa hasira na kuanza kuondoka eneo Hilo Huku natembea na mguu.

Alizidi kunifata "" bint kuwa mwelewa Sina Nia mbaya na wewee!! 
Tafazali  nakuomba nataka tu kuongea na wewee..alinilazimisha sanaa  hatimaye nikapanda gari lake.
* Kazini ni wapi nikupeleke ..aliongea baada ya mimi kupanda.
Posta! Posta ya zamani! Nilimjibu Huku nikimtazama nje ya gari.

Naitwa Salmini sijui mwenzangu inaitwa nani? Alijiongelesh ayule baba. ** Naitwa Mona ..monalisa! 
Nice name! Alijibu. Nilinyamaza kimya Huku nikiangalia barabara je, atanipeleka nilikomwambia.
Unafanya kazi Gani? ..  cashier Yani mshik fedha!alitabasamu na kuniangalia.

Umefanana mnoo na marehemu mke wangu! Alisema Huku alitabasamu. 
"" Niniii?? Niliuliza kwa mshangao.
Yeah... Umefanana na mke wangu lkn kwa Sasa ni marehemu! Aliongea
Nikashusha pumzi na kumuangalia vizuri.
"" Unajua siyo mara yangu ya kwanza Leo kukuona .. Nina kama miezi miwili nikipita hapo stendi nakuona.. siku ya kwanza nilisimamish agari kabisa na kukuangalia sikuamini! 
Kweli duniani watu wawili wawili! Alisema Huku akiendesha gari.

Nilishusha Tena pumzi na kubaki nikimkodolea macho. "" Vp umeolewa au una mchumba?aliuliza.
** SITAKI kuongelea hayo kwa Sasa ..samahani niache hapo nimefika kazini kwangu! Nilimjibu.
""Oooh jengo hilii ndo uapoafanyia kazi..?? .. nilimtazama ndioo na Asante kwa kunileta pia.  Huku nikifungua mlango wa gari na kutoka.

Miss Mona? Aliniita yule mbaba! Yes sir!.. can u gave me ur number? Aliniuliza .. nilisita kidogo lkn nikamtajia ..
Thanks mamii ..alisema nilitikiaa kichwa ishara ya kuigikia Asante yake.
Aliondoa gari Huku nilibaki kumtazama. Nilishusha Tena pumzi na kupanda ngazi kuelekea oficine.
 ITAENDELEA ..
      



SITAKI TENA MAPENZI 🥀_2

""Inatoka saa ngapi nikupitie? ..iliingia text! Hapana nimeshatoka tayari nilimjibu kwa kumdanganya.
Nilishangaa kwann anifate fate niliona Kuna dalili ya yeye kunitongoza na mimi sitaki Tena mapenzi ...niliyoyapitia yanatosha Bora nifocus na kazi!

"" Ooh kwelii basi sawa mimi naenda nyumbani Sasa hivi! Nilimjibu haraka sawa na kukata simu.
Iliita Tena sikupokea ..iliita na kuita zaidi ya mara tatu sikupokea.
Sikutaka Tena ukaribu na yule baba.. kwanza kanifananisha na marehemu ..then what next! sikupemda Hilo jambo.
*****“*"*****

"""Piiiiiih piiiiiih piiiiiih... Ilikuwa honi ikipigwa stendi kutazama Tena ni yule baba... Nilisema kimoyoni huyu baba ana shida Gani lkn? Watu wa stendi walianza kunitazama nilisikia aibu ikabidi niende mwenyewe!
"" Shikamoo! Nilimuamkia. Alitabasamu Huku akifungua mlango ...marhabaa!! Ingia. "" Mona una miaka mingapi? Aliniuliza.
27.. nilimjibu! 

Mmh Bado mdogo lkn pia sijakupita sana! Nina miaka 38 ni vile nilichelewa kuowa. Aliongea.
Kwann ... nilimuuliza! 
Nilikuwa bize na MASOMO ...Nina kampuni yangu  naiendesha karibu utembee kazini kwangu. Aliongea Huku akitabasamu. Nilitabasamu ya uwongohuku nikimtazama.

""Wooow! Tabasamu lako zuri mnoo ni mzaliwa wa wapi wewee?
Tanga ... wazazi wangu ni wenyeji wa Tanga ila mimi nimezaliwa hapa dar! Nilimjibu. "" Ok, mimi ni mzaliwa wa songea kabila langu ni mnyasa! 
Lkn hukujibu swali langu umeolewa, au una mchumba? aliuliza
"* Sijaolewa, Sina mchumba na sitaki mwanaume! Nilimjibu nikiwa serious.

**Mmmh mbona una hasira hivyo nimeuliza tu au nimekosea .. 
Sijui..nilimjibu na kuchukua phone na kuweka MASIKIONI! 
Tafadhali nataka kuongea na wewe usifanye hivyoo..alisema Huku akinitoa phone MASIKIONI. Nilimshangaa wapi kapata ujasiri wa kunitoa phone zangu. 
Wikendi hiii ukipata muda naomba tuzungumze Nina mengi mnoo ya kukwambia..hivi kwenye gari haitoshi Mona tafadhali usinikatalie.. 
Aliongea kwa upole Huku akiningalia.

"" Utagonga kuwa makini barabarani ..nilimsyua Ili kumkata stimu. 
Ooh sorry ..umenichanganya mtt wa kitanga. Alisema Huku akicheka. 
Hujanijibu lkn? Aliongea. 
Ili kuepusha mad nisizozipenda nikajikutanimeiyikia "* sawaaa!! 
Umeahidi ..ahadi ni deni ..hivyo una deni kwangu! Alisema Salmini.
Nilinyamaza kimya alinishuhs kazini na kuondoka zake. 
 
SITAKI TENA MAPENZI 🥀_3
... WOOW umependeza sana! Mona wewe ni mzuri, cjui nisemaje unielewe ! Alisema Salmini baada ya kuniona nimefika pale mgahawani tulipo ahidiana kukutana.
**Mmh kweli, sawa Asante! Nilimjibu.
Agiza unachotaka! Weita nipe maji baridiiiii.. nilioda.
Majiii .... Una utani! Alisema Salmini.
""Yeah yananitosha nipo hapa kukusikiliza nijue nini umeniitia..nakusikiliza Sasa!niliongea nikiwa namaanisha.

Sikiliza tukiachana na vyote monalisa mimi nakupenda nataka uwe mke wangu! Nimekufatilia mda sana. Usinikatalie Mona  please! 
Nilimtazama Salmini usoni  nikacheka kwa dharau. "" Sikiliza nikwambie umeniona hivi nilivyo Nina miaka 28 lkn nimeshapiti maumivu yamapenzi mara mbilii! Moja ni mahusiano tu na pili ni ndoa ambapo mpk sasa sitamani mwanaume yyt yule! Hata hisia Sina. Akili yangu kwa Sasa inawaza pesa tu! Nifanye kazi kwa bidii nisaidie familia yangu.

Samahani sana nazani umenielewa! Niliongea nusu nilie alinikumbisha vidonda ambavyo vilianza kupona.
** Mona wanaume tumetofautiana.. unaniona mimi nathamini sana mtu anayeitwa mwanamke!! ...kwann nilikwambia mke wangu amefaliki lkn kaniachia mtt mdogo sana. Hapa ninapokwambia mama yangu anamlea"" uzazi ulikatisha maisha ya mke wangu! Alikngea kwa uchungu Huku machozi yakimlenga lenga.. na mkono wake ukiwa juu ya mkono wangu mezani.
"" Sote tuna maumivu unaonaje tukapeana nafasi kuziponya nyoyo zetu. Alisema Salmini.

Mkeo amekufa... Mimi aliyenisaliti na kuniumiza yupo hai! Sisi ni tofautii Salmini! Nilipaza sauti. "" Taratibu kipenzi je, Bado unampenda huyo jamaa alikuumiza? ... Hapana! Simpendi na nawachukia wanaume wotee! Hata yy alisema kama wewee. Ooh sitakuumiza mimi ni watofauti lkn alikuja kuniumiza zaidi ya yule wa mwanzo. Nyinyi ni mbwaa tu! 
Niliongea kwa hasira na jazba. Nakuelewa sana tu unachopitia ebu nipe nafasi na uwone nini nitakufanyia Mona. Nnahitaji mke wa kufa na kuzikana. Aliongea Huku akishika mikono yangu miwili! 
Please nielewe usihukumu kitabu kwa kava la njee. Soma ndani ndipo ujaji! 
Mona nakupendaa!! 
Au nipige magoti  UTANIELEWA.. ama ni shout umati wote wajue kuwa nakupenda.
Pleaseeeee!!!  

Nilibaki nikimuangalia usoni sikujua nifanyaje. Kwa mara ya kwanza mwanaume analia kwasababu yangu.
"" Sawa nimekuelewa nipe muda niweze kutafakali vzr. 
SITAKI kukurupuka  katika hili!  Nilimjibu na kujitia mikono yangu kwakwe.
""" Natumaini litakuwa jibu zuri.. Mona nakupenda sana. 
"" Asante ..nilimjibu. tuliongea mengi mnooo . Hatimaye tukaondoka na Kila mtu alirudi kwakwe. 
ITAENDELEA .

SITAKI TENA MAPENZI 🥀_4
"" Habarii kipenzi umeamka salama. ! ""Vp umeshatoka nyumbani nakusubili stendi hapa! Zlikuwa text kuota kwa salmini. 
Nilisema na kushushwa pumzi. Huyu baba hajui kukata TAMAA nilisema kimoyoni. "" Yeah ndo natoka by the way nipo safi!  Nilifika stendi nikaingia garini... Tulisalimiana hatukuongea kwa muda  kimya kilitawala garini.
Nilishangaa na kumtaza Salmini kwa kumuibia. "" Kila kitu kipo sawa? Nilimuuliza. Yeah kipenzi nipo sawa .. alitabasamu Huku akijibu. Nilinyamaza pia nilihisi nilimuuliza sana atahisi namshobokea. 

Nilitahamaki tumefika kazini! "" Unatoka saa ngapi nije nikuchukue? Aliniuliza. "" Hapana usijali nitakod bolt! Nilimjibu. Alinitazama kwa sekunde kadhaa ... "" Nini. Mbona unaniangalia hivyo! Nilimuuliza nakupenda! Alijibu. Ghafla nikashangaa mwili umesisimukwa  kusikia hivyo. "" Njoo basi Mona mbona una haraka ... Shika itakusaidia usafiri badae. Alijikabidhi pesa kama elfu 40 . Nilipokea Asante! Nilimjibu na kuondoka haraka. Nilipanda ngazi  kwa haraka mara nikasikia honi ikipigwa nikajikuta nimegeuka  ... Ni yeye Salmini alinikonyeza na kuondoka. 

Siku hiyo nilishangaa namuwaza sana  Salmini.. mpk nilijichukia mwenyewe.
Hata wenzangu waliuliza "" Mona  vp leo unaumwaa?? Nilitikisa kichwa kuashilia hapana! 
Nilirudi nyumbani nikiwa na mawazo tele sikujua nifanye ninii. Hata nikifanya jambo linguine ghafla anakuja Salmini mawazoni. Nilihisi kudata. "" Umefika Salama nyumbani?. Ilikuwa text kutoka kwake Salmini. Nilishikwa simu na kuingalia tu... Mwisho nikajibu ndio cjui wewe? 
I'm ok! ... Ila Bado sijarudi home. Alijibu. 

""Upo wapii? Nilijikuta nauliza..nikataka kifuta ikawa nimechelewa imeenda. Nilijiuliza why namuuliza maswali hayo.. inanihusu nini mimi. Simu iliita! Nikawa naogopa kupokea nitaomgea nini?ilikata akapiga Tena.
"" Mona are u ok?... Yeah I'm ok! Sijarudi nyumbani Kuna MZIGO unawasili kutoka bandarini hivyo nataka niowone ukiingia hapa ndipo nitaondoka. Alisema Salmini. ** Sawa hata hivyo samahani sikukusudia kukuuliza hivyo. 
Usijali nakuelewa..alijibu kwa upole.

Nilikata simu haraka na kukaa kitandani ... Njni kinanitokea nimesema staki kupenda Tena ..hichi ni nini! 
"" Sasa mbona umenikatia simu.. Mona kipenzi mimi mzito sana kuchat sms napenda kuongea na simu Moja kwa moja.  Hata hivyo usiku mwema.  Nilisema sms yake nikabaki tuliii .. 
ITAENDELEA.
    Nifollow Bint Suleyman kwenye page yangu Ili nikipost uwe wa kwanza kupata notification. 
Usitume request wewe follow.
NARUDI

SITAKI TENA MAPENZI 🥀_5

usiku ule nilijawa na mawazo ... Nilijiona nilianza kupenda Tena. Nilijichukia Hali hiyo ila sikujua ni vp nitadili nayo.
Hatimaye usingizi ukanipitia nilistushwa na sms ikisema jiandae nitakusubili stendi. Alikuwa Salmini. 
Hali iliendelea hivyo kwa muda kiasi hata ile ahadi ya kuonana wikendi niliipuuzia. Sikutaka kuingia kwenye mahusiano nilitendwa, niliumizwa sana. Kipaumbele changu si mapenzi Tena ila ni kutafuta pesa.

Ilipita miezi miwili nikiendelea kumzungusha Salmini... Nakumbuka siku hii nilikuwa stendi Huku macho yangu yakitazama Huku na kule .. lkn sikumuona Salmini nilishangaa mmh vp Leo? Nilipanda daladala na kwenda kazini. Njia nzima niliwaza Leo vp mbona kimya sana ....je, anaumwa? Amepata ajali Toka usiku hatujawasiliana.  Nilijiambia "" achana na Hilo mimi siyo ndugu yake Wala mkewe!  Hata lunch ilipofika nilishikwa simu nikijua atapiga lkn wapii? Nilianza kuhisi wasiwasi .. nilishuhaa pumzi na kumpigia.

Simu iliita mara tatu hakupokea! Nilijikuta nazidi kuchanganyikiwa .. mungu wangu nini limemkuta. Ghafla alipiga...haloo Salmini niw wewee, uko Salama! ** Ndio nipo Salama kabisaa! Alinijibu.  "" Kwann hupokei simu zangu umenistua sana! Sijapenda ..nilijikuta nalalamika. 
"" Kwann una wasiwasi? Aliniuliza.
Nilinyamaza kimya! ** Mona! Monalisa... Kwann uwe na wasiwasi juu yangu mimi si kitu chochote kile kwako! Aliongea 
. Nilinyamaza kimya nilijiona mjinga sikujua nijibu nini ..niliropoka wewe ni muhimu kwangu lzm niwe na wasiwasi. "" Unasemaa? Aliuliza Tena. 
Basi Salmini kama uko Salama nashukuru niliitaka kujua. 
"* Tunaweza kuonana Leo jioni Mona naahidi baada ya kuonana Leo mimi na wewe kama hatutoelewana maongezi yetu nakuapia hutuniona Tena kweye maisha yako.
Na sitokusumbua kamwee!! Alisema Salmini kwa sauti yaupole.

Nikiambiwa maneno ya kunitachi moyo wangu Huwa nahisi nakambwa na pumzi .. nilishusha pumzi na kuitikia sawa! "" Sawa ninii aliuliza! 
Tutaonaa mimi na wewe! ** Asante kwakunikubalia. Alisema nakukata simu.  
Ilikuwa alhamisi tulivu nilitoka mapema tu nilijitahidi kumaliza kazi zangu nikaonane nae. 
Chukua usafiri nitalipa nipo hapa mgahawa lusidi nakusubiri.. ilikuwa text kutoka kwa salmini.nilichukua bolt mpk hapo nilielekezwa. 
Nilimuona akiwa katulia anakunywa bia .
Kalibu unakunywa nini agiza chochote... Aliongea.
Nataka maji ya Kunywa tu yabaridi!, Majiiii?? Achautani wewe mi sikuteki Wala wewe si mwanafunzi! Alisema Huku akitabasamu. 
Unakunywa bia?? Nilimuuliza.
Ndio ila si Kila siku ... Ni mpk niwe na stress ndo nakunywa. 
Kwahiyo hapo ulio una mawazo ... Nini kinakusumbua? Nilimuuliza.
Wewe Mona! Mona unanitesa sanaa... Kwann unielewi mimi sikuchezei nakuowaa kabisaa!! Aliongea. 
Nilimtazama na kumtafakarii.. 
ITAENDELEA.

Full 1000
Previous Post Next Post