Mashabiki na wafuatiliaji wa season za SQUID GAME wana sababu 1000 za kufurahia baada ya tangazo la ujio wa season 3 kutangazwa
Season 3 itaitwa "Young-Hee & Chul-Su."
Season 3 ya SQUID GAME tutakuwa nayo mwaka huu huu 2025 na mkasa utaendelea pale pale ulipoishia ,naona wengi hamjaridhishwa na namna season 2 ilivyoisha
Season 1 na Season 2 ya Squid Game ipii ni bora kwako?
Ukihitaji season 2 ambayo haijatafsiriwa
Fika ofisini Kwetu ama bonyeza livechat kuipata
Tags
series