Kikosi Cha wanajeshi kutoka mwaka 2050 Walikuja wakati huu tuliopo kwa kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha wao kurudi wakati uliopita na wakati uliopo
Walileta habari mbaya kwamba huko walipotoka 2050 si salama Kuna viumbe wameivamia Dunia na kuangamiza binadamu na viumbe hai wengine
Hivyo wamekuja wakati huu uliopo kuomba msaada wa kijeshi, kuomba baadhi ya watu wakasaidiane nao katika kupambana na viumbe hao hatari
La sivyo miaka 30 ijayo wanadamu wa sasa watashindwa katika vita hiyo nzito ya Dunia baina yao na viumbe hao wa ajabu
Kwahiyo njia pekee ya kuweza kuepukana na hilo janga walichaguliwa kwa lazima watu kadhaa kwenda kupambana na viumbe hao,haijalishi una mafunzo ya kijeshi au laa
Mtapewa mafunzo kwa siku chache Kisha mnapelekwa 5050 kupigana na hao viumbe
shughuli inakuja hivyo viumbe vyenyewe ni hatari tupu kwanza vinatisha halafu jinsi unavyovipiga risasi vyenyewe vinakuja tu na solution namna ya kuwauwa Bado haijapatikana
Ni single movie Full HD
Ingia live chat kuipata movie hii
Tags:
movies